Modules
- Modules
- Creating Module
- Importing Module
- from
- import
- Compiled Python Files
- Modules Search Path
- Packages
Module
-
Module ni file ambalo lina functionality fulani katika program yako,Ukienda supermarket kuna sehemu mbambali kwa ajili ya product kama, shirts, t-shirts, women clothes.
-
Hivyo katika Python kuna modules na pia ni namna yako code zako kuwa organized katika program yako, kwa mfano katika program yako unaweza ukawa na simple function ya kuweza kucalculate cost ya tax pamoja na shipping cost katika program yako.Angalia mfano hapo chini:
- Hivyo code ambazo zimeandikwa katika program yako zipo katika
app.pyili ziweze kuwa katika module katika program yako inaweza inabidi kutengeneza file lako lingine likiwa na extension ya.pymfano file letu litaitwamauzo.py.
- Baada ya file lako kutengenezwa inabidi kuhamisha code zako ambazo zipo kwenye
app.pykwenda kwenyemauzo.py, hivyo mauzo.py itakuwa na code zifuatazo ambazo zilikuwa kwenye app.py.
- Baada ya hapo inabidi
Creating Module
Importing Module
- Ili uweze kutumia module katika program yako inabidi kufanya import, kuna namna mbili ya kufanya import katika program yako kwa kutumia
fromna kutumiaimport.
from
- Namna ya kwanza ya kuimport module utaanza na neno
fromkisha jina la module kishaimportna hapo utaandika hiyo funcionality yako mfano function ambayo imekuwa defined kwenye program yako.
- Pia kama utataka kutumia funcionality ambayo ni zaidi ya moja utatofautisha kwa kutumia mkato.
import
- Baada ya module yetu
app.pykutengenezwa ili uweze kutumia module yako hiyo inabidi kufanya kitu kinaitwa import ambayo ni sawa na kusema kwamba nenda kwenda folder lako kisha tafuta file linaitwa xxx.Angalia mfano wa Sintaksia:
- Kutoka kwenye mfano hapo juu tumefanya import ya module inaitwa mauzo, mauzo inakuwa object ili uweze kutumia functionality zilizopo katika
mauzo.pyinabidi kutumia dot operator., ambapo utaanza na jina module ambayo umeimport ikifuatiwa na dot hapo utaona functions ambazo zipo kwenye module hizo zimekuwa defined kwenye mauzo.py.
Compiled Python Files
- Baada ya kurun program yako katika file lako kuna file linaitwa
__pyache__, basi file hilo limekuwa compiled