PEP
Naming Variables
- Majina ya variables yanakuwa mazuri yakiwa named na nomino(nouns) pale ambapo yanawakilisha entities. Kwenye upande wa variable za booleans, kivumishi(adjectives) ndio inakuwa chaguo zuri, katika namna ambayo thamani ya bulliani inawakilisha uwepo au kutokuwepo kwa hicho kivumishi.Mfano:
mrefu = True
amekula = False
- Kutoka kwenye mfano hapo tuu unajua kwamba hii ni thamani ya boolean au sio thamani yake kwamba ukiona mrefu unajuwa kwamba ni kivumishi na kinatoa sifa ya kitu fulani.