Introduction
- Private members, kama ilivyo kwenye upande wa C++ huwa kunakuwa na namna ya kuweza kuwa na public na private method katika program yako, pia kwenye Python ipo ila kuna utofauti kidogo.
Implementation
- Ili kuweza kutengeneza class ambayo ina private members katika Python inabidi private member awe prefixed na undercsore mbili katika program yako
__.Mfano:
class MyClass:
def __init__(self):
self.__private_member = 42
def public_method(self):
print("This is a public method")
# Accessing the private member within the class is fine
print("Private member value:", self.__private_member)
# Outside the class
obj = MyClass()
# Accessing the public method
obj.public_method()
# Trying to access the private member directly
print("Trying to access private member outside the class:", obj.__private_member)
- Kwenye mfano hapo juu tumetengeneza class inaitwa MyClass ikiwa na contructor na method ya kwanza ni hiyo juu ambapo kuna private method ambayo