Aithmetic
- Vipi kama tunataka kufanya operation katika object yako,ila kwa hapa nitatumia mfano mwingine
class Point:
def __init__(self, x, y):
self.x = x
self.y = y
point = Point(12, 13)
another_point = Point(23, 12)
- Kwa mfano kutoka kwenye mfano hapo juu tuna Point Class ambayo ina instance ikiwa na attributes x na y, ila ukijaribu kufanya arithmetic operation ya value ya x ya object
point na another_point object itakuwa hivi.
class Point:
def __init__(self, x, y):
self.x = x
self.y = y
point = Point(12, 13)
another_point = Point(23, 12)
print(another_point + point)
"""
TypeError: unsupported operand type(s) for +: 'Point' and 'Point'
"""
- TypeError; kwamba hio operesheni haiwezekani kwahiyo badala ya kufanya hivyo tuatumia magic methods kuweza kufanya operation ya instance ya object point na another_point x instances.
class Point:
def __init__(self, x, y):
self.x = x
self.y = y
def __add__(self, other):
return self.x + other.x
point = Point(12, 13)
another_point = Point(23, 12)